The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Huyu mzee Raila Odinga anafahamika sana kwa fitina na kuharibia wenzake.
Yani ana roho ya uharibifu sana, uchonganishi na majungu.
Ni yeye kamuharibia Rigathi Gachagua. Machozi ya Gachagua aliyotoa ni laana itakayowaandama Raila na Ruto.
Raila ni ndimilakuwili kigeugeu ni kama popo.
Haaminiki kabisa. Kutoka na haya yote mabaya aliyowafanyia wengine yatamrudia.
Mungu yupo amini msiamini Raila anapigwa chini Urais wa AU na kuangukia pua na wote East Africa tutafurahi na kusheherekea.
Tlaatlaah
Nyau de adriz