Raila and Kalonzo coming back to Parliament!

Mkuu
Tom Mboya alikuwa ni kutokea wapi? alikuwa ni Mluhya?

Alikuwa ni MLUO toka Nyanza aliyewahi ongoza vyama vya wafanyakazi Kenya zama za ukoloni kama Mh. Rashid Kawawa (RIP) kwa Tanzania. Wakati anauwawa alikuwa waziri wa mambo ya nje kama sikosei. Siku anauwawa (assassinated) alitokea Adiss Ababa baada ya kuwa summoned kurejea nyumbani kama kumbukumbu zangu ziko sahihi. Ndipo alipoipata dhahama hiyo siku ya jumamosi moja akiingia au akitoka mojawapo ya maduka ya dawa Nairobi. Wanaokumbuka zaidi wanaweza nisahihisha kuweka rekodi sawa.
 
Riddle persists over Cord leaders

The mps that were affiliated with cord joined the party on the priciple of liberation. Mps being pushed to the sidelines to make way for cord leaders goes against it




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…