Raila aokota Dodo kupitia Gen Z

Raila aokota Dodo kupitia Gen Z

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.

2. Ruto akiteua girlgriend wake kuwa Waziri.

3. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo ndio siasa za Afrika.

**Utu uzima dawa.
BCC: Kamanda wa anga Mboe & Antipas
 
Attachments

  • 17ce90f6b2fd4cd59a6179dbc7be6af0_An8uKN_xONM4PzwvNAcNOOUzL9zv55g19psdYDBwkkl-BMqC7b67T4d2_bdT-...mp4
    1.2 MB
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.

2. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo ndio siasa za Afrika.

**Utu uzima dawa.
BCC: Kamanda wa anga Mboe & Antipas
Gen Z wanakula vumbi lipi wakati matakwa yao yametimia kwa zaidi ya 85%?
 
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.

2. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo ndio siasa za Afrika.

**Utu uzima dawa.
BCC: Kamanda wa anga Mboe & Antipas
Akili mbovu kweli kweli hizi. Kwani Gen Z walikuwa na lengo la kuteuliwa?
 
1. Raila Amollo Odinga kupitia ODM ameokota Dodo kwenye mti wa mpera kwa Viongozi wa Chama chake Kuteuliwa nafasi za uongozi kwenye serikali ya Kenya. Huku Gen Z wakiendelea Kula vumbi Kibera na Mathare slums.

2. Ruto akiteua girlgriend wake kuwa Waziri.

3. Poleni Gen Z, poleni Kibera, hizo ndio siasa za Afrika.

**Utu uzima dawa.
BCC: Kamanda wa anga Mboe & Antipas
Tatizo ni Gen z wame feel betrayed kwa raila kujiunga with one person they dont like. Maybe kwa sasa kaokota dodo ila kwenye uchaguzi atokota mchanga
 
Raila amepoteza kwa kuonekana slippery asiye na msimamo.., damage to his legacy
 
Anaandamana kijana wa Gen Z, wanaoteuliwa ni wengine kabisa ambao hata hawakuandamana.

Vijana wapumbavu wanatumika kama condoms. Kazi ikiisha condoms zinatupwa.

Kuandamana na kusababisha fujo, vurugu, uporaji na vifo ni upumbavu.
 
Back
Top Bottom