sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
kwa kiburi na ujeuri,Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Raila Odinga amwfichua alichoongea na Chadema akiwataka kufata strategy za Mbowe za kukaa mezani na serikali.
Raila amesema mbinu ya maridhiano ndio dawa ya kupata demokrasia ya kweli.
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
Tone imeishia wapi?Odinga hajawahi kufanikiwa why awashauri CHADEMA?
Tone imeishia wapi?
Chadema imefanikiwa nini chini ya Lissu na machawa wake?
Tuanze na Samia kwa CCM maana ndio yuko madarakani mda mrefu kama mwenyekiti kuliko Lisu
Huu mradi Wa JPM samia hajawahi waza hili,
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.
Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
View attachment 3279918
Lisu haijui siasa ni maridhianoKupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.
Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
View attachment 3279918
Ndio maana ni ngumu upinzani kwenda ikulu sasa hapo ndio umetoa ufafanuzi gani!Wewe kichwani kupo sawasawa?
Umeelewa mantiki ya maelezo ya Raila Odinga au unaropoka tu?
Raila amezungumzia umuhimu wa mazungumzo. CHADEMA sasa wanafanya kotu gani? Hukusikia waliiandikia barua tume, wamekutana na msajili wa vyama, wameongea na mabalozi, viongozi wa dini, n.k. Hivi hayo siyo mazungumzo. Lakini kama kichwani upo mzima hata kidogo, utakuwa unajua kuwa ili kuwepo mazungumzo ni lazima pande zote husila ziwe tayari kuzungumza. Je, Samia yupo tayari kuzungumza? CCM ipo tauari kuzungumza?
Kwa Nini Sasa CHADEMA wanazungumza na Odinga?Kwa hiyo CHADEMA ni wakupuuzwaOdinga hajawahi kufanikiwa why awashauri CHADEMA?
CHADEMA ya sasa imekosa viongozi wenye sayansi ya siasa.Wamejaa uharakati tuTone imeishia wapi?
Chadema imefanikiwa nini chini ya Lissu na machawa wake?
Ni endelevuTuanze na Samia kwa CCM maana ndio yuko madarakani mda mrefu kama mwenyekiti kuliko Lisu
Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.
Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
View attachment 3279918
kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba
hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile 🐒
CHADEMA siku zote na wakati wowote iko tayari kwa mazungumzo seroius na ya kuaminika yaliyojengwa ktk msingi wa UTASHI WA KWELI WA KISIASA ili kufikia mwafaka wa pamoja ktk mambo yote ya kiuchaguzi yanayolitatiza taifa na nchi yetu tangu uchaguzi wa 2019....Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.