stupid[emoji57]kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba
hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile [emoji205]
I want to succeed? Do the opposite of what Odinga advices you, his strategies never work
Lisu haijui siasa ni maridhiano
Kibaka na tapeli ni nani wewe pimbi na chawa mkubwa wewe! Kenge wewe! Kula makande toka Lumumba ulale wewe chawa wa mtaroni!kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba
hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile 🐒
Maridhiano ni kuongea TU bila kutimiza mnachoongea?. Tatizo lipo kwa CCM,uongo wa 4R bila vitendo. Kuweka misingi ya tume huru ya uchaguzi hawataki,kutengeneza katiba mpya kuendana na mazingira ya sasa hawatakiLisu haijui siasa ni maridhiano
Raila hajawahi kushinda uchaguzi pamoja na kugombea urais mara 20. Chadema wamechezea pesa yetu ya tone kwa tone kwa kwenda kumuona huyo mzee. Ana tofauti gani na babu Washira?Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.
Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
View attachment 3279918
kasongo acha tabia za kinyumbu basi, mbona weo sana aise?Kibaka na tapeli ni nani wewe pimbi na chawa mkubwa wewe! Kenge wewe! Kula makande toka Lumumba ulale wewe chawa wa mtaroni!
nonsense and completely useless 🐒stupid[emoji57]
Wamefuata nini?Odinga hajawahi kufanikiwa why awashauri CHADEMA?
Raila ametoa ushauri makini.Wewe kichwani kupo sawasawa?
Umeelewa mantiki ya maelezo ya Raila Odinga au unaropoka tu?
Raila amezungumzia umuhimu wa mazungumzo. CHADEMA sasa wanafanya kotu gani? Hukusikia waliiandikia barua tume, wamekutana na msajili wa vyama, wameongea na mabalozi, viongozi wa dini, n.k. Hivi hayo siyo mazungumzo. Lakini kama kichwani upo mzima hata kidogo, utakuwa unajua kuwa ili kuwepo mazungumzo ni lazima pande zote husila ziwe tayari kuzungumza. Je, Samia yupo tayari kuzungumza? CCM ipo tauari kuzungumza?
Vibaka ni ccm ndio wanaolaghai wanachi kwa uongozi wa uongo na huku nyinyi mkishupaza shingo. Wizi wa kodinza wananchi zinliwa tu huko ccm ati zinanunuliwa magoli huku wananchi wakiwa na njaa.kwa kiburi na ujeuri,
huyo kibaka na tapeli wa siasa nchini lazima atapuuza na kushupaza shingo dhidi ya mawaidha hayo ya kinara wa ODM, Raila Amolo Odinga, Baba
hata hivyo kushauriana na mtu alieshindwa nawe utashindwa tu vile vile 🐒
Wafuate ushauri wa mtu ambaye uzoefu wake ni wa kushindwa tu milele yote?Kupitia ukurasa wake wa X nguli wa demokrasia nchini Kenya.
Nilifanya majadiliano na viongozi wa upinzani kutoka Tanzania waliokuja kunitembelea kwa ziara ya heshima. Tulibadilishana mawazo kuhusu kuimarisha demokrasia barani Afrika, ikiwemo mchango madhubuti wa vyama vya siasa katika maendeleo ya taifa, iwe vilivyo katika serikali au vinavyokuwa nje ya serikali.
Niliwashauri wazingatie umuhimu wa mazungumzo na ushirikiano wa kimaendeleo na serikali kwa manufaa ya taifa na uhifadhi wa demokrasia ya Tanzania. Natarajia uchaguzi wa amani na wa uwazi katika uchaguzi ujao wa Tanzania.
Soma Pia: Tundu Lissu akutana na Raila Odinga Jijini Nairobi na kufanya naye Mazungumzo
Ni wakati wa Lissu na machawa wake kusikiliza ushauri wa wanasiasa wenye uzoefu na uelewa. Waachane na utoto wa no reform no election.
View attachment 3279918
kwahiyo wameenda Kenya kumuuliza mzee Raila kwamba kushindwa kwake katika chauzi za Kenya anaibiwa kura au hakubaliki na wakenya?Vibaka ni ccm ndio wanaolaghai wanachi kwa uongozi wa uongo na huku nyinyi mkishupaza shingo. Wizi wa kodinza wananchi zinliwa tu huko ccm ati zinanunuliwa magoli huku wananchi wakiwa na njaa.
Una uhakika wanazo? Mtu hawezi kutumia kitu ambacho hanaWana ccm hawajawahi kutumia akili
Matapeli ni wale wanaochukua kodi za wananchi wakinunulia magoli na kuhadaa amani kesho yake ni kutumia dola na kuwaua wananchi hawo.kwahiyo wameenda Kenya kumuuliza mzee Raila kwamba kushindwa kwake katika chauzi za Kenya anaibiwa kura au hakubaliki na wakenya?
matapeli na vibaka wa kisiasa bana dah,
hiyo sijui itawasidia nini
hivi mpaka sasa gentleman,Matapeli ni wale wanaochukua kodi za wananchi wakinunulia magoli na kuhadaa amani kesho yake ni kutumia dola na kuwaua wananchi hawo.