Raila azomewa mpaka aondoka kwenye mkutano. Wakenya hawataki ujinga

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nilicheka sana nilipoona vituko vya handshakeee

Baada ya kuungana mzee wetu aka Baba akaenda mkutanoni leo.
kufika babaaaaa anataka kuanza kuongeaaa baba kuhamaki akashtukiaa kundizima la mkutano linamzomeaa toka shujaa shukaa tokaa mbariki wewee. Baba akasita kuendelea akajua wakitulia ataendelea kuongea.

Weweeee kila akigusaaaa maiki kazomewaa baba akanusa akasema ahsanteni.

Baba akaunganmoja kwa Moja kwenye gari lake huku akizomewaaa baba natikii wewe.

Hao ndio wakenya bana.
 
No politik😂😂😂😂
 
Safi sana hili zee linakera. Kila Serikali linaharibu. Acha lizomewe tu.

N de A
 
Safi sana hili zee linakera. Kila Serikali linaharibu. Acha lizomewe tu.

N de A
Mi nawaza sijui linalogahaiwezekan
Ma RAIS wotee awachezeee kama Ngoma aiseee

YAAN RUTTO alivyoapa RAILA asahai handshake na alichofanya NDUGU

Mamako kama n mwanasiasa alikwambia KUNA mvua usimwamini Toka nje weka MKONO Nje kama inanyeshanusiwamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…