Raila calls for mother of all demos on the election day 26th

Solution Kenya ni kunichaguwa mimi kwa Raisi wa Jamhuri ya Kenya ndiyo mtaonja Amani!

Huwezi ukachaguliwa hata mzee wa kijiji Kenya maana hujafikia level hiyo, hivi mbona umebadilisha picha na kuanza kutumia picha ya Tundu Lissu, naona uwoga umeanza kuwaingia baada ya yeye kuonekana ameanza kupata nafuu, sasa sijui nyie mliojawa na chuki dhidi yake kama huko kubadilisha na kutumia picha zake kama avatar kutawapunguzia dhambi.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…