Raila discharged from hospital, says he is okay

Raila discharged from hospital, says he is okay

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
IMG-20170710-WA0000.jpg

KENYA: Raila Odinga ameruhusiwa kutoka Hospitali alikolazwa baada ya kuugua ghafla akidaiwa alikula chakula chenye sumu hapo jana wakati akiendelea na kampeni katika Kaunti ya Kilifi huko Mombasa.

Mgombea huyo kupitia tiketi ya Muungano wa NASA amewatoa wasiwasi watu wake kuwa yuko salama kiafya na anaelekea Jijini Nairobi kwaajili ya kuendelea na Kampeni zake.

======
Raila Odinga has been discharged from Mombasa Hospital where he was taken after falling ill at the airport.

The National Super Alliance (NASA) presidential candidate told media that doctors said he was dehydrated but is now okay and will be heading back to Nairobi to continue with political campaigns.

Earlier, NASA Secretariat CEO Norman Magaya told Citizen Digital on the phone that Odinga was hospitalised at a Mombasa hospital, around 6:45pm, before he could board a flight back to Nairobi after feeling slightly unwell.

Following the health scare, at first suspected to be food poisoning, Mombasa residents and leaders flocked the hospital.

But Odinga’s adviser quickly dispatched a statement to newsrooms with re-assurances that the NASA leader was in a stable condition and had only sought medical attention as a precaution.

“Mr Odinga feels quite comfortable and is being examined by a doctor at Mombasa Hospital. The doctor feels that there is absolutely no cause for alarm. There is absolutely no reason for anyone to worry about Mr Odinga’s health,” said Lone.

Lone, in the statement, said Odinga became unwell when he was at the Mombasa International Airport awaiting his flight back to Nairobi.

“His colleagues with him, including Mr Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi, Moses Wetangula and Senator James Orengo decided that it was best that a doctor examined him before Mr Odinga took the flight to Nairobi,” said Lone.

“Mr Odinga himself felt that there was no need for this but he was persuaded by his colleagues that it was best to not travel at this time.”

Source: The Citizen Kenya
 
niliskia mtz flani kaanzisha thread hapa JF "Raila alishwa sumu Nchini Kenya" lol! watu wajinga sana hawa watz...yaani food poisoning ni kulishwa sumu???? dah! Kiingereza kilikuja na meli...food poisoning sio kuwekewa sumu kwa chakula...wacheni ujinga! food poisoning ni mtu akila chakula ambacho kimeharibika....kama vile maharagwe yaliyolala
 
niliskia mtz flani kaanzisha thread hapa JF "Raila alishwa sumu Nchini Kenya" lol! watu wajinga sana hawa watz...yaani food poisoning ni kulishwa sumu???? dah! Kiingereza kilikuja na meli
Angalia msirudie kama Yale hatuna pa kuwaweka

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Angalia msirudie kama Yale hatuna pa kuwaweka

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
siasa zitakuwa za amani...wewe subiri tu...muda ndio utaamua...sio propaganda
 
niliskia mtz flani kaanzisha thread hapa JF "Raila alishwa sumu Nchini Kenya" lol! watu wajinga sana hawa watz...yaani food poisoning ni kulishwa sumu???? dah! Kiingereza kilikuja na meli...food poisoning sio kuwekewa sumu kwa chakula...wacheni ujinga! food poisoning ni mtu akila chakula ambacho kimeharibika....kama vile maharagwe yaliyolala
Kwani hao wadudu wanaokifanya chakula kiharibike hawatoi sumu? Wakenya Kiswahili hamjui!! Au wewe sumu unaijua ile inayotengenezwa na binadamu? Huyo alikula sumu full stop!! Mgombea wa urais unakula chakula kilichochacha? Manapigwa tena na awamu hii!! VOTE FOR UHURUTO
 
Angalia msirudie kama Yale hatuna pa kuwaweka

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Wee waache wajambejambe tu,, safari hii hata Milicent na Jemima sitawahifadhi tena!!
 
Back
Top Bottom