RAILA,GIDEON MOI Ndio Timu ya Ushindi Uchaguzi Ujao.

Rutto asipoteze muda wake bure,hataweza kupenya hii Ngome mambo yameanza kupikwa viungo mbalimnali vimeshaandaliwa Rutto asifikiri kila akukenuliae yuko na wewe.
Karata zimeshaanza kupangwa.

Huu ni mtizamo wangu wa jicho langu laTatu.
We jamaa Mkenya au mtanzania???!!!
 
Huyo Gideon Moi ana uhusiano wowote na Torotich Moi?
 
Rutto asipoteze muda wake bure,hataweza kupenya hii Ngome mambo yameanza kupikwa viungo mbalimnali vimeshaandaliwa Rutto asifikiri kila akukenuliae yuko na wewe.
Karata zimeshaanza kupangwa.

Huu ni mtizamo wangu wa jicho langu laTatu.

Kwa hiyo Ruto alitumika kama dekio!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…