Raila kamshinda kenyatta

Aisee stesheni ambazo zipo open kwa mida hii huku kenya ni police station tu mazeee![emoji3] [emoji125] [emoji191] [emoji241]
Haha, bebeni viti vyenu mkazitazame hizo police station. Najuwa watakuwa wamewaadalia tamthilia zuri sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu we siasa kweli hujui, kwani hujui kuwa chadema ni wapo upande wa Kenyatta na CCM wapo kwa Raila au hata hili dogo tu limekupiga chenga?
Wala hajui kuwa Raila baada ya kuapishwa yupo mapumziko hapa baba jesca
 
Kule ni majanga kweli kweli
 
Sio kweli hili, DW walidanganya, they have their agenda.
Tena wanajaribu kila njia kuvuruga nchi za Africa DW imelaaniwa kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…