Raila - "Kesho Nataka Kuona Chupi Za Akina Mama"

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
774
Reaction score
723
Raila amekuwa mwendawazimu. Baada ya wamama kutoa nguo zao wakiindamana kumsifu Raila, Hivi juzi Raila adai kuwa yuataka kuona chupi za kina mama. Kweli Watanzania. Naomba mkachukue huyu mtu mkafanye awe wenu jinsi sisi tumeifanya Mlima Kilimanjaro kuwa letu.

 
Odigna anakuwa kama mwana Chadema bwana
 
Reactions: Oii
Kawaida tena Uhuru ana maneno machafu zaidi yake, Kenya wanaiga sana Americans culture
 
Asisahau kuweka na picchu ya mkewe pia.
 
Mkimchagua Raila kuwa rais nitasikitika sana.
 
duh nimeinua mikono kama mkenya...huyu jamaa sijui tumfanyie nini...mchukueni tu watz ama nije nikutane na mzee wa loliondo tummalize mara moja...
 
Hivi Kenya hakuna medical schools? Watu kama hawa wanafaa sana kutumika kama practical specimen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…