Oii JF-Expert Member Joined Sep 8, 2017 Posts 3,930 Reaction score 3,128 Oct 7, 2017 #21 denoo49 said: Kweli kabisa aliokota huku akili mgando za hiyo jibini ya Bongo. Click to expand... Kuwa na adabu
denoo49 said: Kweli kabisa aliokota huku akili mgando za hiyo jibini ya Bongo. Click to expand... Kuwa na adabu
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Oct 7, 2017 #22 Dragoon said: Odigna anakuwa kama mwana Chadema bwana Click to expand... Hukumuona chato? Alienda likizo.
Dragoon said: Odigna anakuwa kama mwana Chadema bwana Click to expand... Hukumuona chato? Alienda likizo.
B Bwana254 JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 846 Reaction score 632 Oct 8, 2017 #23 Eish ,huyu wazimu kabisa Tz tusaidieni mchukue huyu jitu na spare parts mtapata bure kwa maisha.Afadhali Lowassa an Lissu wenu waje tuwape uraia badala ya huyu Joshua mwitu.
Eish ,huyu wazimu kabisa Tz tusaidieni mchukue huyu jitu na spare parts mtapata bure kwa maisha.Afadhali Lowassa an Lissu wenu waje tuwape uraia badala ya huyu Joshua mwitu.