City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wewe huwajui viongozi wa juu vizuri. Labda ungesema una mapenzi nae binafsi. Hiyo mtu poa sana huwa ni kwa wale watu wake tu, kwa washindani wake hugeuka kuwa shetani.Mange kamwe hawezi kumsema JK vibaya. JK ni mtu poa Sana. Huku Skendinevia ndie kiongozi pekee wa Africa anaheshimiwa sana. Najua mwamba ataingilia kati wasimuue polepole. JK kaja kubadilika kwa sababu ya uzee na dementia.
Everist chahali former jasus anadai hivyo.Lini born town ameanza kuumwa wakati alikuwa kwenye kampeni za chama chake juzi kati? Labda mseme raila!
Kwani anasemaje semaji Luca!Haha hii Ndio October, ngoja tuone
Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani.
Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande?
Magonjwa Mtambuka Una roho mbaya Sana.
adriz The Consigliere
Hahaha wee NI mpuuzi sana