Ulianza lini kujenga reli yenu? Ni Mara tu baada ya Kenyatta kushika madaraka. TANZANIA Ni baada ya JPM (2017) Tuone SasaHizi taarifa nilizisoma nikashangaa sana kwamba SGR ambayo mnatupigia makelele kila siku hamjafika hata nusu, kwa jinsi huwa mnapayuka utadhani mshaizindua, kasafu ka 200km lakini makelele kila siku.
Sisi tupo kwenye hatua za kukamilisha mzinga wa 700km wenye handaki refu kupita yote ukanda huu.
Hiki kiswahili umeandika hapa unahitaji pongezi,umejipanga vizuri!!Hiyo ndio kazi mpya ya Raila Amolo Odinga pale Umoja wa Afrika(A.U.). Raila ni Special Envoy wa A.U. kuhusu masuala ya maendeleo na miundo mbinu Afrika. Tena rais U.K. ndiye aliyewaunganishia, wakiwa na Kalonzo Musyoka, ambaye anangoza kamati ya kuwapatanisha viongozi wanaolumbana kule S.Sudan. Raila ana ofisi Addis Ababa, Nairobi na Cairo na anakatiza kote kote ndani ya bara hili. Mzee alishavuka boda na akafika Canaan zamani sana. Hongera zake, acha Agwambo achape kazi. Ushawishi wa Kenya barani Afrika unaendelea kuimarika kila uchao.
Shukran mkuu.Hiki kiswahili umeandika hapa unahitaji pongezi,umejipanga vizuri!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza lini kujenga reli yenu? Ni Mara tu baada ya Kenyatta kushika madaraka. TANZANIA Ni baada ya JPM (2017) Tuone Sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi taarifa nilizisoma nikashangaa sana kwamba SGR ambayo mnatupigia makelele kila siku hamjafika hata nusu, kwa jinsi huwa mnapayuka utadhani mshaizindua, kasafu ka 200km lakini makelele kila siku.
Sisi tupo kwenye hatua za kukamilisha mzinga wa 700km wenye handaki refu kupita yote ukanda huu.
kumbuka huku hatujengi garimoshi,hapo ndo ulipo utofauti wetu
afcon tumeingia kwa nguvu zetu,uganda tulivyoenda kwao tulitoka 0-0,na ilikuwa bado kidogo tuwafungie kule kule kwao,sasa juzi wameingia kwa mkapa stadium ngumu kwa timu yoyote pinzani wakala 3-0 japokuwa waliagizwa na raisi wao wasipoteze mechi hata moja mu7 alitaka wamalize tournament unbeaten,Dunia yote hakuna sehemu gari moshi zinajengwa wala kutumika.....Ukweli ni kwamba nyie hamjambo kwa maneno lakini matendo zero, yaani kitu cha kawaida mnakikuza kwa mbwembwe mtu atadhani mumefanya makubwa. Angalia hata mpira, timu za nchi zote EAC zimeingia Afcon lakini kwenu Mganda kawaachia muingie maana yeye tayari alikua ameingia ila imekua makelele utadhani mumeshinda kombe la dunia.