Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Jun 21, 2017 #1 Mwaka huu Kenya lazima kitanuka tu, Raila Odinga amedhamilia kuingia Ikulu iwe isiwe na matokeo ya kura hayatabadilisha kitu!! Raila: There is a plot to rig August polls
Mwaka huu Kenya lazima kitanuka tu, Raila Odinga amedhamilia kuingia Ikulu iwe isiwe na matokeo ya kura hayatabadilisha kitu!! Raila: There is a plot to rig August polls
Mwalimu Ntuntu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 308 Reaction score 285 Jun 21, 2017 #2 Barbarosa said: Mwaka huu Kenya lazima kitanuka tu, Raila Odinga amedhamilia kuingia Ikulu iwe isiwe na matokeo ya kura hayatabadilisha kitu!! Raila: There is a plot to rig August polls Click to expand... Hata awamu nyingine hakugombea ili kujifurahisha ila alidhamiria pia, ajipange! Anaweza akawa mshindi wa pili kila awamu.
Barbarosa said: Mwaka huu Kenya lazima kitanuka tu, Raila Odinga amedhamilia kuingia Ikulu iwe isiwe na matokeo ya kura hayatabadilisha kitu!! Raila: There is a plot to rig August polls Click to expand... Hata awamu nyingine hakugombea ili kujifurahisha ila alidhamiria pia, ajipange! Anaweza akawa mshindi wa pili kila awamu.
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 Jun 21, 2017 #3 Inawezekana hata kusinuke!
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Jun 21, 2017 Thread starter #4 Ghazwat said: Inawezekana hata kusinuke! Click to expand... Labda Raila Odinga atangazwe mshindi, vinginevyo sioni jinsi ambavyo atakubali kushindwa!
Ghazwat said: Inawezekana hata kusinuke! Click to expand... Labda Raila Odinga atangazwe mshindi, vinginevyo sioni jinsi ambavyo atakubali kushindwa!
CCM MKAMBARANI JF-Expert Member Joined Mar 15, 2017 Posts 2,031 Reaction score 1,514 Jun 21, 2017 #5 odinga simpi nafasi