Kama itabidi. Hata we ukiwa na mtoto nyumbani mwako anayetishia hadi usalama wako na wa wenzie hutomuacha atambe tu.Ajifunze yote na kupoteza watu.
Kwani vifaranga vilikuwa vya wakenya? Vifaranga vilikuwa vya mfanyabiashara aliyeingiza kinyume na taratibu.mkenya yupi mjinga amkubali magufuli wakati walimtukana alipochoma vifaranga vya kuku namanga
Nani alijenga viwanda?Mwambieni mwambieni magufuli hakujenga kiwanda hata kimoja
Nyerere na mkoloni,Nani alijenga viwanda?
Ila wakenya wanajielewa watamdhibiti