Watu hawaelewi concept ya fools day. Fools day kama unafanya joke unafanya joke kitu ambacho in real sense HAKIWEZEKANI. Kwa mfano wale waliosema Mlima Kilimanjaro utahamishwa.
Unaposema Odinga amekubali kuwa waziri wa fedha, hili kimsingi ni jambo ambalo LINAWEZEKANA na inakuwa haijaqualify kuwa joke ya fools day na mtu atakayeamini si mjinga.
Mwingine anasema Rage kauliwa kwa risasi. Hiyo pia haijaqulaify kwa sababu Rage kuuliwa ni kitu kinachowezekana na mtu atakayeamini hilo si mjinga.
Sasa wewe tuambie, hii yako ni fools day au habari genuine?