Raila Odinga alazwa Nairobi Hospital

Kumbe wakenya wana huduma bora za afya.sasa mbona wanakufa na corona?..
Akiliza wakenya ni NUSU

Aisee, swali la aina yake hili. Sio corona tu, wanakufa kwa magonjwa mengine pia. Lakini ukweli ndio huo: wana huduma bora zaidi za afya kuliko zetu.

Hata US, Europe, India, China, South Africa wana huduma za hali ya juu sana za afya lakini bado wanakufa kwa corona na magonjwa mengine. Nao akili zao ni nusu?
 
sasa utasemaje wana huduma bora za afya wakati wanakufa kama sisi tu?.
au uzuri wa majengo ya hospital ndo huduma nzuri ya afya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…