Raila Odinga amjibu Rais Uhuru Kenyatta kuhusu mualiko wa 'chai'.

Niliona nyomi ya Raila majuzi ...nikawa najiuliza hawa waliojazana mbona hawakumpa kura sasa kama wanampenda?

Wajua kuwa tofauti ya kura haikuwa kubwa na kulikuwa na mkanganyiko mkubwa wa kura alizopata "mshindi"? aka sakata la digital voting
 
kwa nini walifanyia mkutano mtaani? Huyo mwenye shati la jeans ni nani?
 

hakuna jamaa anyejua kujicontradict kama Raila, juzi walikuwa na kalonzo ikulu hatujui ni nini walisikizana na rais kule, na pia hatukujulishwa, hana msimamo. wanae kwenye cord wakinyimwa zabuni, mwananchi lazima kuhusishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…