Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Odinga badala ya kuharakisha kuwafikisha walioshiriki mauaji ya Kenya mahamani, anajidai kujali zaidi growth ya Tanzania.
Siungi mkono hii tabia mpya ya viongozi wa kitaifa wa kenya kujifanya wadau wa uongozi wa Tanzania.
hapa ameongelea umuhimu wa kubadilisha katiba na sio kwamba ccm wachaguliwe au chadema au cuf, ila uzuri wake utaweza kuzuia au kupunguza tatizo la vita vya wenyewe kwa wenyewe, kama wao kenya walivyo-experience au sasa hivi ivory coast wanavyo chakachuliwa na GagboHivi hawa manyang'au bado hamjajua wanachokihitaji?