Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ni swala la muda tu.Usimpongeze odinga tu wapongeze na wakenya pia maana walikubali kuuana wao kwa wao kupeana vilema nk ili katiba iyo ipatikane na watu wengine walipelekwa the Hague tofauti na kwetu watanzania tu kwa mfano tushajazwa uoga ndo mana mtu anaendesha nchi ovyo tu na mfano uyo jaji mkuu aliyetoa hukumu leo assume angekua kaimu jaji mkuu kama huku kwetu kesho asubh asingekua na kazi asee ni kama mwanasheria mkuu wa zanzibar kipindi cha bunge la katiba alipotoa maoni tofauti kesho yake akakosa kazi so pongezi ziwe za wakenya wote kwa kuweza kuamua hatma yao na vizazi vijavyo sisi watanzania hatma yetu itaamliwa na vizazi vyetu sisi tushakua waoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbu nyinyi hamna ubavu huo, kelele mob. Mtapasuliwa.Ni swala la muda tu.
. Poa kiongoziNyumbu nyinyi hamna ubavu huo, kelele mob. Mtapasuliwa.