Raila Odinga aondoka nchini Kenya na kwenya UK ataelezea huko hali ya Kisiasa ya Kenya

Raila Odinga aondoka nchini Kenya na kwenya UK ataelezea huko hali ya Kisiasa ya Kenya

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Raila Odinga has left the country for the UK where he is expected to give an address on the political situation in Kenya.
british-airwyas.jpg
 
Ujinga huu
kwa hio anataka kwenda huko UK alafu ahamasishe vurugu Kenya
wakenya wamemvumilia sana huyu mtu
sasa anataka kuiharibu nchi yao
Uhuru amekuwa mstaarabu sana ku deal na huyu bwana
ameona kwa namna yoyote hana uwezo wa kushinda uchaguzi.sasa anataka kuiharibu amani ya nchi
 
Unaongea kwa Sababu wewe ni CHADEMA au unajua situation iliyoko Kenya?
 
Ukiona chama chochote cha upinzani kinamlaumu na kumpinga Raila...faham iko chama ipo siku kitapinga hata sera zake.

Ni chama cha kipuuzi tu kinachopinga wanayoyafanya NASA kenya.

Vyama tawala Afrika wanajiona kama vimungu watu.
 
Kilichowafikisha kenya hapo ni uhuru usio na mipaka, hata kama unachodai ni kwel ila kuwa na uhuru ambao hauna mpaka hata Mungu hana

Na wasipojirekebisha kenyas utawala bora watausikia kwenye magazeti, anachokifanya odinga ni political aweness ambacho kiuhalisia ndicho alitaka kukifanya wakati ule maalim sef, mwisho munaona alipoishia...

Wakenya amkeni... Ninyi mtabaki mnapigwa mabom na kukatwa miguu, od.... Anakula shushu uk..
 
Aende tu huko ila aijekusema wazungu waje walinde Kenya, na aanzishe vurugu akiwa nje wakenya ndio wafe.
 
HAHAHAHAAAAAA

...............LAILA AMEHAIDI PINDUWENI MKIWEZA AKIRUDI WINGERA ATAWAJAZENI MAPESA....

CHORUS
 
Ujinga huu
kwa hio anataka kwenda huko UK alafu ahamasishe vurugu Kenya
wakenya wamemvumilia sana huyu mtu
sasa anataka kuiharibu nchi yao
Uhuru amekuwa mstaarabu sana ku deal na huyu bwana
ameona kwa namna yoyote hana uwezo wa kushinda uchaguzi.sasa anataka kuiharibu amani ya nchi
Atakuwa hana tofauti na kina lema na Msigwa kwenda ughaibuni kuisema nchi na kuleta uchochezi..
 
Kujitoa kwa RAO na mahakana kuruhusi wagombea wote kujumuishwa katika marejeo ya kura imekua mwiba kwa RAO. This nullified his agenda lead to his withdrawal.
 
Back
Top Bottom