Raila Odinga apigwa mawe huko kenya, Ruto kuchukua nchi

Raila Odinga apigwa mawe huko kenya, Ruto kuchukua nchi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Hakika Kenya haiko na unafiki!
Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki

Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
 
👇👇

IMG_20220330_185726.jpg
 
Inaitwa tit for tat,walifanyia hivo hivo Ruto huko kondele\Kisumu! Na pia kitendawili kikafanyiwa hivo hivo Riftvalley😬not good but fair enough!
 
Acha unafiki wewe, waliompiga mawe ni walikuwa wangapi mpaka useme hatakiwi?.

Hapo kuna jambo linatafutwa ili yawepo majibizano alafu muanze kusema Raila anataka kumwaga damu.

Jambo zuri sana walilofanya wafuasi wa ODM ni hili hapa, wao wameamua kuwasambazia MAUA hiyo ni ishara nzuri ya kuwaonyesha upendo na amani kwa wale waliochukua hatua kurusha mawe kwa Raila na timu yake.
 
Waliorusha nawe nyumba zao ni za vioo, sasa sijui itakuwaje! Baada ya vioo vyote kufyekwa Odinga atachukuwa nchi. SI wameanza wenyewe? Waombe msamaha yaishe. Kwa vyovyote mzee ataingia ikulu.
 
Ikitokea hivyo basi inawezekana historia iya mwaka 2002 itajirudia. Mzee Moi akiwa anampigia kampeni Uhuru Kenyatta, waliwahi kukosa kura na Mwai Kibaki alichukua Nchi.
Inataka kuonyesha KAMA ukitaka uukose urais wa Kenya, basi upigiwe debe na Rais anayekuja kuachia madaraka.
Ikijirudia tena mwaka huu, tuta-formulate hypothesis ya namna hii
 
Unajua Raila ama unamskia tu. Raila ndio ako na Wafuasi wa kweli Kenya mzima. Ameshika Nairobi, Pwani, Western, Nyanza, Ukambani na North Eastern. Ruto anaingia Uchaguzi na Kura za Kabila yake na nusu ya Central Kenya, 2002 Kibaki aliingia serekali na 60% national wide support, Uhuru Kenyatta hakua na umaarufu hata kidogo. huyo Ruto hana umaarufu hana umaarufu kama Kibaki na Odinga kusema anaweza Shinda bila usaidizi wa Serekali. From the current situation Mtarajie Raila kuwa Rais wa Tano Kenya.
 
Leo kila pande ya Kenya UDA ndio kusema isipokuwa Kisumu,Homabay,Migori na Siaya!
Sababu mtu yao Odinga Ojinga iko kwa debe💩ngoja mwone jinsi Ruto ana shinda kiurahisi 2022 August🔥🔥
 
Back
Top Bottom