Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Ukatili dhidi ya wanyama
Wewe Mkale huwa takataka sana,Inaitwa tit for tat,walifanyia hivo hivo Ruto huko kondele\Kisumu! Na pia kitendawili kikafanyiwa hivo hivo Riftvalley😬not good but fair enough!
Huyu anajulikana vizuriWajameni hii hela nyingi iliyozuiliwa Kenya ya nani? Bilioni 5.6 kenya money siyo mchezo.
Powerful politician, Nigerians linked to frozen Sh5.6bn in Equity and UBA
The ARA says the four directors of the firms—the two Nigerians and two Kenyans—shrugged off repeated summons to explain the source of the billions.www.businessdailyafrica.com
nani kakuambia mi mkale😂mi mmembu bana from Mount Kenya na diedaga urimu we kihii kya ruwe!💩Wewe Mkale huwa takataka sana,
Wacha kusambaza ujinga hivi,
KENYANS we are not this FOOLISH.
nyinyi watu wa kuzimia mulifurahia Ruto akirushiwa mawe kondele,na mutigishonoka Gui ishi💩Wewe Mkale huwa takataka sana,
Wacha kusambaza ujinga hivi,
KENYANS we are not this FOOLISH.
Unajua Raila ama unamskia tu. Raila ndio ako na Wafuasi wa kweli Kenya mzima. Ameshika Nairobi, Pwani, Western, Nyanza, Ukambani na North Eastern. Ruto anaingia Uchaguzi na Kura za Kabila yake na nusu ya Central Kenya, 2002 Kibaki aliingia serekali na 60% national wide support, Uhuru Kenyatta hakua na umaarufu hata kidogo. huyo Ruto hana umaarufu hana umaarufu kama Kibaki na Odinga kusema anaweza Shinda bila usaidizi wa Serekali. From the current situation Mtarajie Raila kuwa Rais wa Tano Kenya.Ikitokea hivyo basi inawezekana historia iya mwaka 2002 itajirudia. Mzee Moi akiwa anampigia kampeni Uhuru Kenyatta, waliwahi kukosa kura na Mwai Kibaki alichukua Nchi.
Inataka kuonyesha KAMA ukitaka uukose urais wa Kenya, basi upigiwe debe na Rais anayekuja kuachia madaraka.
Ikijirudia tena mwaka huu, tuta-formulate hypothesis ya namna hii