Mkuu sikia hiyo clip ya Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi Kenya ambaye alikuwa akimuunga mkono Raila OdingaLakini Kalonzo ,Moses Wetangula na Musalia Mudavadi wamesema wao walinyang'anywa walinzi halafu wakazingirwa na maafisa usalama walipokuwa wakifanya kikao kwamba hicho ndicho kiliwafanya wasifike. Source ni DW leo mchana)