Huyu jamaa huwa anaimani na kuisifia mahakama akishinda yeye tuKENYA: Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema bado hakubaliani na ushindi wa Uhuru Kenyatta japo Mahakama ya Juu imesema ulikua halali
Ameeelezea alikuwa anatarajia uamuzi huo wa mahakama na haishangazi kwa kuwa wametishiwa ili kutoa uamuzi huo, na pia hawailamu mahakama ila wanaisikitia
kama baba yakoraila pumbavu kabisa
Atazingua sana kabla aje kutulia, ila mahakama imeamua, taratibu zote za kisheria na kidemokrasia zimefuatwa na kuzingatiwa. Hapo nahisi atasumbua hadi basi na inawezekana mkamuapisha huko maana yuko Tanzania, walishasema kwamba Uhuru akiapishwa na yeye ataapishwa, sasa kwa vile ni swahiba wenu huko Bongo, mnaweza mkamuapisha....hehehe
Anyway, ni wakati wa kuendelea na ujenzi wa nchi, hizi siasa bana..