Utapeli wa kisiasa wakati wa kampeni tuu.Huyu naye ana mawazo ya kizee! Sasa si watakufa njaa! Kila mwaka wanalia ukame!
Dont mind him. Hii ni politiki tu kuwahadaa wapiga kura. Akishaingia Ikulu atafanya lililo sahihiHuyu naye ana mawazo ya kizee! Sasa si watakufa njaa! Kila mwaka wanalia ukame!
Where a politician stands for A and voters stand for B, he will talk B, after getting into power he will turn to BDont mind him. Hii ni politiki tu kuwahadaa wapiga kura. Akishaingia Ikulu atafanya lililo sahihi
Kweli kabisa, hawa millers nchini Kenya wanaipata bidhaa hiyo kwa bei chee nje ya mipaka ya Kenya. Jambo ambalo linachangia sana kwenye masaibu na changamoto, ambazo wakulima wa Kenya wamekuwa wakikumbana nazo. Bei ya juu ya mbolea na bidhaa zingine za aina hiyo, ushuru n.k, n.k, zimechangia pia kwenye kupunguza uzalishaji wa zao la mahindi nchini Kenya.Mgombea urais na kiongozi maarufu wa muungano wa Azomio Raila odinga amewahaidi wakulima kuwa atazuia uingizaji wa mahindi toka nje ya nchi. Na ikumbukwe kuwa mahindi mengi yanazalishwa na kuuzwa kutoka Tanzania
Kwa akili ya kawaida ina maana hawa wafanyabiashara wa Kenya wanapata mahindi bei chee hivyo wanapopeleka sokoni bidhaa za K nienya zinadoda.
Eti Kenya haina ardhi ya kutosha ya kulima mahindi? Acha nicheke tu. 😀Utapeli wa kisiasa wakati wa kampeni tuu.
Kenya hawana ardhi ya kutosha kujitosheleza kulima mahindi,chai mirungi na mazao mengine
Jombaa, ukame sio kwamba huwa upo Kenya nzima. Kuna sehemu nyingi ambazo zipo productive sana, 'all year round' na watu wa maeneo hayo, tangia wazaliwe, hawajajua ukame ni nini.Huyu naye ana mawazo ya kizee! Sasa si watakufa njaa! Kila mwaka wanalia ukame!
Mimi kwa mfano sijawahi experience ukame tangu nizaliwe na chakula tunachokula huwa tunatoa shambani wala hatutegemei vyakula vya kutoka nje ya mipaka ya Kenya. Inachekesha sana pale watanzania ufikiria kwamba ukame upo kila mahali Kenya, na kwamba wakenya wote hutegemea chakula cha msaada. Mimi hata sasa hivi kwetu tumeshuhudia mvua tangu mwisho wa mwezi wa tatu and its still raining hadi sasa.Jombaa, ukame sio kwamba huwa upo Kenya nzima. Kuna sehemu ambazo zipo productive sana, 'all year round' na watu wa huko tangu wazaliwe hawajajua ukame ni nini.
Mahindi yanapandwa kwa wingi sana Tranzoia, Kitale. Ila wakulima walianza kupunguza uzalishaji, kisa bei ya zao ikilinganishwa na gharama ya kupanda. Tena wakulima wengi nchini Kenya wamejikita kwenye ukulima wa kunyunyizia, sio ule wa zamani wa kutegemea mvua.
Kwenye dunia ya sasa, ambapo kila info inapatikana kwa urahisi, huo mimi huwa nauita upumbavu. Kama sio upumbavu basi ni kimbembele na ujuaji mwingi. Naelewa kwamba hata mtu mwenye PhD zake hawezi akajua kila kitu, kilicho chini ya jua.Mimi kwa mfano sijawahi experience ukame tangu nizaliwe na chakula tunachokula huwa tunatoa shambani wala hatutegemei vyakula vya kutoka nje ya mipaka ya Kenya. Inachekesha sana pale watanzania ufikiria kwamba ukame upo kila mahali Kenya, na kwamba wakenya wote hutegemea chakula cha msaada. Mimi hata sasa hivi kwetu tumeshuhudia mvua tangu mwisho wa mwezi wa tatu and its still raining hadi sasa.
Ww kwenu ni wapi? Au ni Kisii, coz Najua kule ndio hakuna ukameMimi kwa mfano sijawahi experience ukame tangu nizaliwe na chakula tunachokula huwa tunatoa shambani wala hatutegemei vyakula vya kutoka nje ya mipaka ya Kenya. Inachekesha sana pale watanzania ufikiria kwamba ukame upo kila mahali Kenya, na kwamba wakenya wote hutegemea chakula cha msaada. Mimi hata sasa hivi kwetu tumeshuhudia mvua tangu mwisho wa mwezi wa tatu and its still raining hadi sasa.
Hiyo ndio tofauti Kati ya kiongozi na raia, kiongozi anazungumzia wananchi wote, wakati raia anafikiria kuhusu yeye na familia yake. Kama wewe hujawai kukutana na njaa au ukame, Kuna zaidi ya wakenya 3M wapi hatarini kupoteza maisha kwasababu ya ukame, wewe hao hawakuhusu, lakini rais huo ni mzigo wake lazima ashughulike nao.Mimi kwa mfano sijawahi experience ukame tangu nizaliwe na chakula tunachokula huwa tunatoa shambani wala hatutegemei vyakula vya kutoka nje ya mipaka ya Kenya. Inachekesha sana pale watanzania ufikiria kwamba ukame upo kila mahali Kenya, na kwamba wakenya wote hutegemea chakula cha msaada. Mimi hata sasa hivi kwetu tumeshuhudia mvua tangu mwisho wa mwezi wa tatu and its still raining hadi sasa.
Kwani hujui kwamba Kenya ndio namba Moja Africa kwenye uzalishaji wa chai hata kushinda TanzaniaUtapeli wa kisiasa wakati wa kampeni tuu.
Kenya hawana ardhi ya kutosha kujitosheleza kulima mahindi,chai mirungi na mazao mengine
Migori ndio nyumbani. Sio kisii pekee yake ila western Kenya in general inapokea mvua almost all-year round, na huku hakuna siku utasikia kuna uhaba wa chakula ama kwamba wakazi wanategemea misaada kutoka kwa serikali. Hata bonde la ufa sehemu nyingi tu hupokea mvua mwaka mzima. Nakuru county, most parts of Laikipia county, Trans Nzoia County, Usain Gishu county, Bomet County, Kericho County, Nandi County, zote hizo hupokea mvua kwa wingi sana. Ukame upo mostly in lower eastern Kenya, northern Kenya, central and north Rift na baadhi ya maeneo ya pwani na huku ndio hukuanga na tatizo la njaaWw kwenu ni wapi? Au ni Kisii, coz Najua kule ndio hakuna ukame