Raila Odinga atangaza ndio ulikua mwisho wake wa kutafuta urais

Si kila ndoto uliyonayo kwenye maisha lazima itimie,Raila akubali kushindwa aendelee na mambo mengine nafasi aliyowahi kuipata ya uwaziri mkuu inatosha mbona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANU inatawala Kenya

Raila sasa abakie kuongoza leadership institute ili atengeneze raila wapya wenye umri wa kati
 

Mimi navyo mjua Raila, atakuwa kwa ballot mwaka wa 2022.
Kumbuka ata babake, Jaramogi, aligombea urais akiwa miaka 82. Kumaanisha Raila sasa hivi akiwa miaka 72, yeye bado ni kijana.
Siasa ipo katika damu ya Raila na Oginga family.
Hii ndio husemwa, until his dying breath.
 
Sasa hizi ni siasa za kiujinga kuhujumu uchumi for a few greedy men.Kumbuka 2008 pia walisema boycott Equity Bank,Kenya Bus Service na zingine for the sole reason ni za waKikuyu na pia the kikuyu-led govt ndio adui wao.
 
Kicks of a dying horse...in 2008 alisema wasuse Equity bank na round hii ni Nation...infact media nyingi this time zipo makini sana sio bora kuripoti tu ilimradi habari.
Je na wana Jubilee watasusa kuangalia Royal media esp Citizen Tv kwa kua Macharia ana msapoti Raila.
Kaangukia pua huyu mzee atulie Uhuro kazi iedelee.
 
Kenya should revert to professor of politics baba Moi mlolongo system. Hapo rigging haiwezekani kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…