Raila Odinga atashinda Uchaguzi Mkuu Kenya mwaka huu 2017.

Kwa ukabila wa Kenya hiyo ni ndoto haiwezekana no.ya wajaruo ni ndogo ukilinganisha na Wakikuyu,Wakamba na makabila mengine.Ukabila unamnyima urais kila wakati huyu jamaa
 
Kama post imetoka kwa bwana Kisandu, ni ya kupuuzwa tu.
 
Mkuu nimecheka maana wewe unayemkosoa kisandu hiki kiingereza chako kina ukakasi mno
 
Can you correct me?
Sasa mkuu unaposema
"Kisandu you have better to be proofreading your post"

Au
"Uhuru can lose election but he couldn't ready to leave the office"

Gramatically unaona upo sahihi?? Wewe umemkosoa kisandu lakini ukatoa boko pia
 
You are pathetic Dude, I told you to correct, so that's ur correction?
 
Kisandu, you'd better proofread your post before posting it, BTW rulling parties all over Africa are not ready to lose the General election especially when the president has already served the first term,Uhuru can lose the election but wouldn't be ready to leave the office, African countries needs an electronic voting system as well as an independent electoral committee
 
Sasa mkuu unaposema
"Kisandu you have better to be proofreading your post"

Au
"Uhuru can lose election but he couldn't ready to leave the office"

Gramatically unaona upo sahihi?? Wewe umemkosoa kisandu lakini ukatoa boko pia
You are pathetic Dude, I told you to correct, so that's ur correction?
Then don't repeat my statement wr
Thanks that is all i needed, we are not native speakers Don't complicate things too much take it easy
 
"I did not shown"? Unafundisha masomo gani wewe mwalimu Kisandu. My humble advise would be seeing a physician first before turning to a good English teacher to sharpen your structure skills.
 
Go to post number 29, afu punguza hasira, this is a forum, don't be that soft, otherwise how do you survive in this world son???
Dude there is great different btn Speaking and writing a certain language someone can be fluently in speaking while other Only writing, The day that u will be confidently able to speak it, You will realise it
 
Noted

Cheers mate
 
Kama uchaguzi hautafanyika Kikabila anaweza shinda
lakini hali ilivyo
nindoto kwake kuwa Rais
labda kwa njia ya vurugu
 
hata Maalim alishinda kule kwenye kisiwa kikubwa. ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…