Raila Odinga atashinda Uchaguzi Mkuu Kenya mwaka huu 2017.

Kwanini Hujaandika kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni nzuri Zaidi, japokua nakuunga Mkono kutumia ENGLISH kwa makosa ili ujifunze Zaidi...
 
R.I.P ENGLISH
 
Hakuna kiongozi imara, mpende maendeleo, demokrasia, uwezo upstairs, nk. kama Uhuru Kenyatta Afrika mashariki yote kwa sasa.
U cant be serious?? Kenyatta uongozi umemshinda especially eneo la usalama na hta jinsi anavyohandle critical issues bado sio strong leader wa kuistabilise kenya.

Kwa east africa licha ya udikteta wake na madhaifu mengi kagame na magufuli bado hawawezi fikiwa na huyo mkikuyu!!
 
Exactly winning is another thing and being declared a winner is also another thing!!! Basing on that odinga wont Be decalared a winner thats it even if all kenyans will vote him in
 
Ngumu sana kumshinda Uhuru. Hiyo mizizi yake ktk siasa za Kenya ya jana na leo Raila asubiri tu.
Siasa za kenya ukabila sana hao wakikuyu wana numerical advantage zaidi ya waluo so wakimvote wote uhuru wanamboost sana...... ila uhuru angekuwa kabila dogo huo urais angeuskia kwenye bomba maana ushawishi wake ni mdogo sana compared to odinga hta last elections kenyatta alipata less than 50% ila wakazima vifaa vya electronic ila wachakachue and indeed wakafanikiwa!!!!!
 

Very simple, kama unakubali kuwa hao uliowataja mbali na udikteta wanamapungufu mengine mengi tu, basi hata Uhuru Kenyatta ni hivyo hivyo, kwangu mimi anamazuri mengi kuliko mapungufu.....but sio afya kumwelezea mtu kwa ukabila unaposema huyo mkikuyu itamaanisha kwamba una muhukumu kwa kabila laki na hivyo unamtaka yule mjaluo..
 

Very simple, kama unakubali kuwa hao uliowataja mbali na udikteta wanamapungufu mengine mengi tu, basi hata Uhuru Kenyatta ni hivyo hivyo, kwangu mimi anamazuri mengi kuliko mapungufu.....but sio afya kumwelezea mtu kwa ukabila unaposema huyo mkikuyu itamaanisha kwamba una muhukumu kwa kabila laki na hivyo unamtaka yule mjaluo..
 
Whatever the case mie nmezaliwa kenya na nmeishi utoto wangu wote huko.....kuna ukabila sana from makanisa misiba mpaka vyama vya siasa inaendeshwa kikabila kabila tu na ndio kiukweli kinambeba uhuru given numerical advantage na superiority ya kiuchumi na kiushawishi waliokuwa nayo wakikuyu kwa wakenya na hicho ndio kitamfanya arudi madarakani and of course kuchakachua pia

Otherwise kenyatta hana capacity ya kupush nchi mbele to be honest he is not a charismatic leader ambaye unaona kabisa anayo power na authority kma waliokuwa nayo magufuli na kagame!!! That itself makes uhuru kutowaweza hao wawili.

Usalama tu umemshinda hata ufisadi kila kona for real jubilee hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…