Raila akishinda wenye nyumba wengi waliokodisha wajaluo watakoma kwa kweli....watasema rent ishuke nusu..na ni wabishi hatareee...Akishinda huyu jaluo 2020 itakuwa ngumu sana kwetu
Mwalimu wa Afrika wa mbinu za kushinda uchaguzi kwa hali na mali ni Tanzania. Kada mmoja wa CCM alisema siku moja hadharani kuwa CCM ina mbinu nyingi sana za kushinda uchaguzi ikiwemo ile ya JechaBREAKING FROM KENYA
Mgombea Urais Nchini Kenya Raila Odinga ameshangazwa na tuhuma zilizotolewa na wapinzani wake kuwa wana mpango wa kuwa na kituo cha kuhesabia kura nchini Tanzania
Akiongea katika Mdahalo unaoendela muda huu Raila Odinga amesema Kenya inataratibu zake katika kipindi cha uchaguzi hivyo hoja hizo ni dalili za kushindwa na taarifa hizo zipuuzwe.