Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fast foward- kunakilichobadilikaVideo ya mwaka Jana hii akiwa anagombea Urais. Muktadha wa majibu hayo ni sababu Ruto alidai Kenyatta nchi imemshinda asisingizie COVID 19 na Ukraine Cha kushangaza Ruto amekua Rais anatumia sababu hizo hizo kujitetea kuhusu gharama za maisha.
Yaani Makamu wa Rais alikua anamlalamikia Odinga ambaye ni mpinzani. Mfano huku Mpango amlalamikie Mbowe kwa gharama za maisha 😂😂😂. Kenya Ina vituko sana.
Tofauti ni Odinga hakuwa Rais ndio maana hapo kasema yeye ni mshauri tu Hana uwezo wa kumpangia Uhuru Cha kufanya. Ila Ruto alikua makamu wa Rais na akasema COVID na Ukraine sio sababu akiwa Rais ataonyesha why!!Fast foward- kunakilichobadilika
unahojaTofauti ni Odinga hakuwa Rais ndio maana hapo kasema yeye ni mshauri tu Hana uwezo wa kumpangia Uhuru Cha kufanya. Ila Ruto alikua makamu wa Rais na akasema COVID na Ukraine sio sababu akiwa Rais ataonyesha why!!
Sasa amekua Rais ameanza kulia Lia kuwa COVID na Ukraine zinamtesa na kwamba gharama zimepanda Dunia nzima. Ila Odinga yeye alikua mpinzani na Sasa Bado ni mpinzani ila Ruto alikua serikali na Sasa ni serikali so anayeonekana failure ni RUTO sio Odinga maana hakua serikalini.
Kama kura zingepigwa Leo, basi Ruto asingepata hata 20%.