Ongeza kanyama jombaa, unamaanishaje? Nimeambulia patupu ila hiyo picha imenichekesha sana. Umeitoa wapi? 😀
Hapo RAO amevalia kofia za rangi za vyama vyote ambavyo vilimezwa na muungano wake, almaarufu NASA. Wiper ya Kalonzo, ODM yake, FORD ya Wetangula na akamalizia na ANC ya Mudavadi.
Wote hao aliwazingua wakaungana naye. Kisha akawaacha nje wakijikunyata na kuteswa na kibaridi kikali, tena zaidi ya kipupwe. 😀