Raila Odinga, Kenya's Riek Machar

Raila Odinga, Kenya's Riek Machar

Kenya belongs to the next generation, Raila is an old geezer, he won't live forever you know.
 
Joseph Kony, Riek Machar and now Raila Odinga.
East Africa's curse
 
Kikuyu mnajamba mkisikia Raila mnakunyaa tu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
uhuru amesababishaje sasa?
Uhuru kuna watu on his behalf wamemess na iebc ili ashinde.
Uhuru amelazimisha uchaguzi ufanyike ilhali watu wale wale walomess iebc on his behalf wakiendelea na kazi.
What do you expect
Uhuru amesign muswada ili kumrahisishia kuingia ikulu.
Uhuru is guilty of too many things.
Wafuasi wa nasa watakuelezea vizuri
 
Acha kukariri. Uhuru ni rais lakini ni mgombea urais kama wengine . Marudio ya uchaguzi wa urais tunafanya kwasababu mahakama ya kilele ilipeana agizo hilo. Tena wakapeana muda siku sitini tena wakaagiza IEBC ifanye kazi hio. Kama kuna yeyote ambaye hakufurahishwa na maagizo ya mahakama angekata rufaa kitambo tu. Au arudi mahakama aje na maagizo mengine.
 
Huyu kizee Raila atasumbua marais na nchi ya Kenya mpaka lini? Dalili naozina huyu kichaa ni yule yule wa 1982 coup, jamaa yule aliyechochea ghasia za 2008 na sasa ona tena amevuruga nchi ,uchumi na maisha .Most of Kenya's worst ,divisive and bloodiest moments have one common thread ...Raila Odinga in the mix of it all.
 
Uhuru kuna watu on his behalf wamemess na iebc ili ashinde.
Uhuru amelazimisha uchaguzi ufanyike ilhali watu wale wale walomess iebc on his behalf wakiendelea na kazi.
What do you expect
Uhuru amesign muswada ili kumrahisishia kuingia ikulu.
Uhuru is guilty of too many things.
Wafuasi wa nasa watakuelezea vizuri
Wrong!

Mahakama ya juu ilitoa amri uchaguzi ufanyike ndani ya siku 60.

Mahakama ya juu ilisema hakuna kamishna wala mfanyakazi wa IEBC aliyesababisha makosa binafsi kupelekea uchaguzi kufutwa.

Kenya kama nchi ya kidemokrasia huwezi kumfukuza mfanyakazi akiwepo wa tume bila kufuata utaratibu hasa pale ambapo kosa lake halijathibitishwa na vyombo vya haki.

Mchakato wa kuchunguza zaidi kama kuna mfanyakazi yoyote wa tume alifanya kosa ili apelekwe kwenye vyombo vya sheria unaendelea na usingeweza kukamilika ndani ya siku 60 tume ilizopewa kufanya uchaguzi.

Raila Odinga alitaka kila kitu kibadilike ikiwepo system za kura, usafirishaji na wote wenye tender kuwezesha uchaguzi wabadilishwe jambo ambao ni impossible ukizingatia muda na pesa ambayo ingetumika.

Mwisho, who is Raila kwenye hili?kama unakumbuka kabla ya tume Hii alikuwa anailalamikia pia tume iliyopita na serikali ikamkubaliana na kuamua kuwalipa pesa ndefu makamishna wa tume hiyo ili wastaafu kabla ya muda, leo tena analeta lalamiko lile lile hata baada ya Uhuru kumteua rafiki na mwanachama wa chama chake cha ODM kuwa Mwenyekiti wa tume.

Cha kujiuliza kingine, Raila safari hii eti anataka achague wafanyakazi wa tume na makamishna nani abaki na nani aondoke, yaan eti Mkurugenzi wa Tume aondoke lakin Mwenyekiti wa Tume abaki?how? kwa lugha nyingine maana yake anataka aipange timu yake kwenye tume.

Bahati nzuri Uhuru Kenyatta ni mstaarabu sana, huyu jamaa ni pasua kichwa.
 
Acha chuki zako wewe, kwani lazima utaje makabila kwenye nyuzi zote? We ni mtanzania sampuli gani? Itakuwa wewe ni mrundi tu kama jamaa flani gaidi wa kiroho wa alshabaab MOTOCHINI

Huyo ni Mkenya ila mwenye kupenda ukabila na mtu kama huyo hata kama ni jirani yako na ni kabila moja akiona unamaendeleo zaidi yake atakuwa na chuki na wewe tu even kukutafutia uchawi kama yule Mama wa Kilifi anasema kwao ndiyo wataalum wa uchawi eti wafanye uchawi Uhuru ashindwe! Aibu tupu.
 
Bahati nzuri Uhuru Kenyatta ni mstaarabu sana, huyu jamaa ni pasua kichwa.
Baba yake Uhuru, Jomo Kenyatta nae alipitia hizi rabsha za Baba yake Raila, Jaramogi Oginga Odinga.Historia inajirudia tu.
 
Acha kukariri. Uhuru ni rais lakini ni mgombea urais kama wengine . Marudio ya uchaguzi wa urais tunafanya kwasababu mahakama ya kilele ilipeana agizo hilo. Tena wakapeana muda siku sitini tena wakaagiza IEBC ifanye kazi hio. Kama kuna yeyote ambaye hakufurahishwa na maagizo ya mahakama angekata rufaa kitambo tu. Au arudi mahakama aje na maagizo mengine.
Rufaa si imekatwa mkaanza kuwinda jugdes, si kuna mmoja kakoswa koswa risasi. Angeendaje kusikiliza rufaa. Nyie ni wakora sana nyie, na wewe unatetea sababu ni wa central.
 
Wrong!

Mahakama ya juu ilitoa amri uchaguzi ufanyike ndani ya siku 60.

Mahakama ya juu ilisema hakuna kamishna wala mfanyakazi wa IEBC aliyesababisha makosa binafsi kupelekea uchaguzi kufutwa.

HAPA UMEDANGANYA MKUU, RECHECK YOUR SOURCES

Bahati nzuri Uhuru Kenyatta ni mstaarabu sana, huyu jamaa ni pasua kichwa.

MSTAARABU UNAFAHAM WANGAPI WAMEUWAWA HADI SASA HIVI NA KUKOSWA KOSWA KUUWAWA.
 
MSTAARABU UNAFAHAM WANGAPI WAMEUWAWA HADI SASA HIVI NA KUKOSWA KOSWA KUUWAWA.
Uhuru Kenyatta ni mpole na mstaarabu sana tukilinganisha na marais wengine.

Huwezi jua unavyolelewa kimayai mayai mpaka utakapokutana na wanaopelekeshwa kidikteta walivyo.Muangalie anavyotendwa Kiiza Besidje linganisha na uhuru wa Raila. Endeleeni kutaka nyingi nasaba mpate mwingi msiba.
 
Rufaa si imekatwa mkaanza kuwinda jugdes, si kuna mmoja kakoswa koswa risasi. Angeendaje kusikiliza rufaa. Nyie ni wakora sana nyie, na wewe unatetea sababu ni wa central.
Eti kuwinda judges? We unadhani Judges wanawindwa kama mnavowinda njiwa huko kwenu Mkuranga?
 
Back
Top Bottom