Acha chuki zako wewe, kwani lazima utaje makabila kwenye nyuzi zote? We ni mtanzania sampuli gani? Itakuwa wewe ni mrundi tu kama jamaa flani gaidi wa kiroho wa alshabaab MOTOCHINIKikuyu mnajamba mkisikia Raila mnakunyaa tu
Uhuru ndio kapelekea haya
Uhuru kuna watu on his behalf wamemess na iebc ili ashinde.uhuru amesababishaje sasa?
Acha kukariri. Uhuru ni rais lakini ni mgombea urais kama wengine . Marudio ya uchaguzi wa urais tunafanya kwasababu mahakama ya kilele ilipeana agizo hilo. Tena wakapeana muda siku sitini tena wakaagiza IEBC ifanye kazi hio. Kama kuna yeyote ambaye hakufurahishwa na maagizo ya mahakama angekata rufaa kitambo tu. Au arudi mahakama aje na maagizo mengine.Uhuru kuna watu on his behalf wamemess na iebc ili ashinde.
Uhuru amelazimisha uchaguzi ufanyike ilhali watu wale wale walomess iebc on his behalf wakiendelea na kazi.
What do you expect
Uhuru amesign muswada ili kumrahisishia kuingia ikulu.
Uhuru is guilty of too many things.
Wafuasi wa nasa watakuelezea vizuri
Huyu kizee Raila atasumbua marais na nchi ya Kenya mpaka lini? Dalili naozina huyu kichaa ni yule yule wa 1982 coup, jamaa yule aliyechochea ghasia za 2008 na sasa ona tena amevuruga nchi ,uchumi na maisha .Most of Kenya's worst ,divisive and bloodiest moments have one common thread ...Raila Odinga in the mix of it all.Acha kukariri. Uhuru ni rais lakini ni mgombea urais kama wengine . Marudio ya uchaguzi wa urais tunafanya kwasababu mahakama ya kilele ilipeana agizo hilo. Tena wakapeana muda siku sitini tena wakaagiza IEBC ifanye kazi hio. Kama kuna yeyote ambaye hakufurahishwa na maagizo ya mahakama angekata rufaa kitambo tu. Au arudi mahakama aje na maagizo mengine.
Wrong!Uhuru kuna watu on his behalf wamemess na iebc ili ashinde.
Uhuru amelazimisha uchaguzi ufanyike ilhali watu wale wale walomess iebc on his behalf wakiendelea na kazi.
What do you expect
Uhuru amesign muswada ili kumrahisishia kuingia ikulu.
Uhuru is guilty of too many things.
Wafuasi wa nasa watakuelezea vizuri
Acha chuki zako wewe, kwani lazima utaje makabila kwenye nyuzi zote? We ni mtanzania sampuli gani? Itakuwa wewe ni mrundi tu kama jamaa flani gaidi wa kiroho wa alshabaab MOTOCHINI
Baba yake Uhuru, Jomo Kenyatta nae alipitia hizi rabsha za Baba yake Raila, Jaramogi Oginga Odinga.Historia inajirudia tu.Bahati nzuri Uhuru Kenyatta ni mstaarabu sana, huyu jamaa ni pasua kichwa.
Rufaa si imekatwa mkaanza kuwinda jugdes, si kuna mmoja kakoswa koswa risasi. Angeendaje kusikiliza rufaa. Nyie ni wakora sana nyie, na wewe unatetea sababu ni wa central.Acha kukariri. Uhuru ni rais lakini ni mgombea urais kama wengine . Marudio ya uchaguzi wa urais tunafanya kwasababu mahakama ya kilele ilipeana agizo hilo. Tena wakapeana muda siku sitini tena wakaagiza IEBC ifanye kazi hio. Kama kuna yeyote ambaye hakufurahishwa na maagizo ya mahakama angekata rufaa kitambo tu. Au arudi mahakama aje na maagizo mengine.
Wrong!
Mahakama ya juu ilitoa amri uchaguzi ufanyike ndani ya siku 60.
Mahakama ya juu ilisema hakuna kamishna wala mfanyakazi wa IEBC aliyesababisha makosa binafsi kupelekea uchaguzi kufutwa.
HAPA UMEDANGANYA MKUU, RECHECK YOUR SOURCES
Bahati nzuri Uhuru Kenyatta ni mstaarabu sana, huyu jamaa ni pasua kichwa.
Uhuru Kenyatta ni mpole na mstaarabu sana tukilinganisha na marais wengine.MSTAARABU UNAFAHAM WANGAPI WAMEUWAWA HADI SASA HIVI NA KUKOSWA KOSWA KUUWAWA.
Eti kuwinda judges? We unadhani Judges wanawindwa kama mnavowinda njiwa huko kwenu Mkuranga?Rufaa si imekatwa mkaanza kuwinda jugdes, si kuna mmoja kakoswa koswa risasi. Angeendaje kusikiliza rufaa. Nyie ni wakora sana nyie, na wewe unatetea sababu ni wa central.