dyeanka
Member
- Jun 19, 2016
- 96
- 70
RAILA Odinga anatoka katika moja ya familia maarufu kisiasa nchini Kenya. Baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga, alikuwa mmojawapo wa watu muhimu katika uwanja wa siasa nchini Kenya wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana 2017, na ndiye alikuwa mpinzani mkuu dhidi ya Rais Uhuru Kenyata ambaye alikuwa Jubilee party.
Raila amabaye alikuwa akiwakilisha upinzani kupitia chama chake cha National Supper Alliance (NASA), hivi sasa ameingia kwenye mgogogoro na washirika wake wa NASA, baada kukutana na mpinzani wake Rais Uhuru Kenyata siku chache zilizopita.
Duru za siasa nchini kenya zinaeleza kuwa huwenda Raila Odinga akapewa nafasi ya kugombea Urais nchini Kenya kwenye uchaguzi wa 2022 kupitia chama tawa cha JUBILEE,
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa baada ya ziara ya Rais Uhuru Kenyata nchini Quba, atafanya ziara nchi nzima kuwaeleza wanachi makubliano waliofikia kati ya Raila Odinga kupitia chama chake cha NASA and Serikali inayongozwa na Uhuru Kenyata.
Wasomi wengi nchini Kenya wanaamini kwamba Raila amerithi kwa kiwango kikubwa haiba ya Upinzani nchini Kenya hasa pale alikutana na Rais Uhuru Kenyata bila kushirikisha washirika wa NASA.