Raila Odinga: Mtego wa Panya hunasa Waliomo na Wasiokuwamo tumeshamnasa Gachagua na tumeutega tena, Kitendawili!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa za Nchi Jirani burudani sana

Raila Odinga anasema Wakati Gachagua aliseti Mtego wa kumnasa asiingie Ikulu na Yeye RAO alitega Mtego wa Panya akiwatumia akina Joho

Sasa nani amenasa Mimi au yeye? Wananchi wakajibu " Gachagua"

Na sasa tumeitega tena hadi kieleweke! Amesisitiza Mzee Raila Odinga

Citizen tv
 
Raila nampenda sana,jinsi alivyomjanja na siasa za kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…