Kwa hali inavyoendelea nchini Kenya kuna uwezekano mkubwa nchi hiyo ikawa kama Somalia au South Sudan. Ni wakati muhimu kwa Rais Uhuru Kenyatta kufanya mazungumzo ya haraka na kiongozi upinzani Raila Odinga, kama hakutakuwa na muafaka hali ya usalama na kiuchumi itazidi kuwa mbaya nchini Kenya.