Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Nimekua nikifuatikia kampeni za Nasa na Jubilee kuelekea kwenya uchaguzi, na nimegundua kwamba muda mwingi sana hawa jamaa baada ya kuhubiri manifesto zao ni kunyosheana vidole. Je hivi nii hii ipo kwenye manifesto au ni kucheza kamari ya kisiasa wananchi wanahitaji kufahamu nini Nasa au Jubilee watawafanyia wakichaguliwa kuongoza nchi miaka mitano ijayo. Mambo ni mengi sana ya kuwaambia wapiga kura ili wapate kura zao, kwa mfano
1) Nairobi msongamano wa magari, kua na efficient well organised public transport mfano Dart ya Dsm. Kua na one stop upcountry modern bus stage sio kama ilivyo sasa mitaa karibia yote ya down town Nairobi imegeuzwa stedi za mabasi na shuttle.
2) Elimu, iwe wanaomaliza vyuo wawe mentally prepared kujianiri na sio sasa ambapo kila mmoja anatamani kuajiriwa na ajira ni chache. Je hivi vyama sera zaozinasema aje kuwawezesha hawa vijana.
3) Security ya ndani especially wizi wa mifugo , mbinu mpya za kuwakomesha Al shabab, na wa gang yanayochipukia mitaa mingi Nairobi na kutesa watu.
4) kuondoa ma cartel kwenye sector ya kilimo kuanzia kahawa,miwa n.k
kwa kweli ishu nyingi sana za kuboresha Kenya. Nasa na Jubilee kutumia kampeni zao kushambuliana bila kuuza sera ni kujiua kisiasa.