Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Hivi kwenye katiba hii tunayoitumia sasa hivi kuna kitu kama Chief Cabinet Secretary? Au ni mimi ndio naona zangu?Wale wale tu sioni chochote hapo.... anyway poa wapambane sasa kwa sera, wapiga kura tunawaskliza.
Haipo, ni mbinu za kuhongana na kukunana kisiasa.Hivi kwenye katiba hii tunayoitumia sasa hivi kuna kitu kama Chief Cabinet Secretary? Au ni mimi ndio naona zangu?
Watarekebisha kwenye BBI iwepo hiyo nafasiHaipo, ni mbinu za kuhongana na kukunana kisiasa.
Tz Kuna msimamizi wa Mawaziri Ambae ni PM Lakini Mawaziri Wanamzidi Mbinu na Kula Kwa Urefu wa Kamba ZaoWatarekebisha kwenye BBI iwepo hiyo nafasi
Ni nzuri pia kwa shughuli za usimamiaji wa mawaziri
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Constitution will be amended na hyo itapatikana.Watarekebisha kwenye BBI iwepo hiyo nafasi
Ni nzuri pia kwa shughuli za usimamiaji wa mawaziri
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Upuuzi mtupu, itakula kwao hao wanaohongwa. Nashangaa kwamba baada ya BBI kuangukia pua, hawa wanasiasa bado hawajajifunza. Kwamba system ambazo zilibuniwa ili kulinda 'integrity' ya katiba ya Kenya zipo imara sana.Haipo, ni mbinu za kuhongana na kukunana kisiasa.
Upuuzi mtupu, itakula kwao hao wanaohongwa. Nashangaa kwamba baada ya BBI kuangukia pua, hawa wanasiasa bado hawajajifunza. Kwamba system ambazo zilibuniwa ili kulinda 'integrity' ya katiba ya Kenya zipo imara sana.
OkayAzimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election.
He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate.
Here are the leaders Mr. Odinga wants in his cabinet:
1. Kalonzo Musyoka - Chief Cabinet Secretary (To coordinate and supervise government functions)2. Kenneth Marende - Senate speaker3. Wycliffe Oparanya - CS Treasury4. Peter Munya - CS Agriculture and Chair of the Kenya Productive Sector5. Ali Hassan Joho - CS Lands