RAILA ODINGA: Nasa now a resistance movement

RAILA ODINGA: Nasa now a resistance movement

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
8fd43b81b09020c26e0045357fa59bbf.jpg
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya, Raila Odinga amesema kuwa upinzani sasa umegeuza muungano wa upinzani National Super Alliance NASA kuwa kundi la maasi.

Amesema kuwa wataanza kususia mambo muhimu kwenye Serikali, watasusia bidhaa na huduma kutoka kwa kampuni zinazounga mkono utawala na wataendelea kushinikiza uchaguzi mpya ufanyike katika siku 90.
 
kundi la waasi wa Nasa, kwa hiyo Odinga anataka kwenda msituni?
 
Kwa Kenya, huyu mzee anachokitafuta si muda mrefu atakipata tu!
 
Huyo mzee ni mshkaji wake na sizonje sana
 
Hana busara kama kiongozi mkuu wa upinzani,anachokitafuta atakipata.
Exactly Mkuu.. Kaona maji kina kirefu kwahivyo kuna namna anatafuta na huenda atakipata hivi punde.
 
Desperate time calls for desperate measures.

Imenikumbusha CUF na Yale yaliyotokea January 26 na 27. Zanzibar
 
African's we still have long way to go.
US uchaguzi uliopita kulikuwa na mizengwe lakini wameamua kutulia na maisha yanaendelea, ingekuwa hukukwetu pasinge tulia hadi mania ya watu wange mwagadamu alafu ndio utulivu ungepatikana.

Sijui nani alie turoga.
 
CHADEMA watakisapoti kitakachotokea kesho Kenya , lkn wanakikataa kilichotokea zanzibar (ukandamizaji wa demokrasia uliofanywa na CCM ) , ila si shangai sifa ya mwanasiasa lazima uwe MNAFIKI.
 
Tatizo anaemshauri Odinga yeye hashauriki,rara nae mbere huyo Uhuru
 
RAILA ODINGA: Nasa now a resistance movement

Wednesday October 25 2017





[https://www]

Kenya opposition leader Raila Odinga. He says the political coalition Nasa is now a 'national resistance movement'. PHOTO | AFP

Advertisement

[https://www]By The EastAfrican
More by this Author

Kenya opposition leader Raila Odinga has called on the National Super Alliance (Nasa) supporters not to participate in any way in Thursday's repeat presidential election.

Addressing the supporters during the "big announcement" at Nairobi's Uhuru Park, Mr Odinga said on Wednesday that Nasa has now transformed from a political coalition to "a resistance movement".

"We will not respect a government that was not elected according to the Constitution," he said.

Kenya's presidential election has plunged the country into political turmoil.

The result of the August 8 vote, won by President Uhuru Kenyatta, was annulled by the Supreme Court on September 1 after a legal challenge from Mr Odinga, who then withdrew from the re-run the judges ordered claiming lack of reforms at the election commission meant the vote would not be free and fair.

After a flurry of last-minute legal challenges failed to halt the election, Mr Odinga told his supporters not to take part.

Related Content

Kenya opposition vows to block vote

The opposition leader called on them to "hold prayers away from polling stations or just stay at home" on Thursday as Kenya holds what he termed as a “sham repeat presidential election”.

"When injustice becomes law, resistance becomes duty," he said, using a quote attributed to one of US founding fathers and third president Thomas Jefferson.

"When there is no justice for the people, there will be no peace for the government," he went on, a quote by Emiliano Zapata, a Mexican revolutionary of the 1900s.

He urged the supported to "rise to the occasion and save democracy not only for ourselves but for all of Africa".

"From tomorrow, the duty of every citizen who loves the Constitution must resist dictatorship."

He then proceeded to read the Nasa Declaration as follows:

One: From today, we are transforming Nasa coalition into a resistance movement.

Two: We embark on campaign to defend our democracy.

Three: Boycott goods and services offered by businesses benefiting from the oppressive regime.

Four: Convene people assembly to chat way forward.

Five: Mobilise movements to ensure that a free fair and credible election is organised within 90 days.

-Additional reporting from AFP

Kenya opposition now a 'resistance movement'
 
Lengo la Odinga ni kuanzisha movement wa kuundwa kwa People's Republic of Kenya, it is only through that way hayo makabila mengine chini ya NASA ndiyo yatakuwa na uhakika wa kuongoza nchi, kwa Raila the only option aliyobaki nayo ili abaki kuwa politically active is through that way
 
Kwani kama tume ingevunjwa na kuundwa nyingine kwa masilahi ya nchi Serkar ya Kenyatta ingepoteza nini. .sisi wa Africa nani ameturoga??
 
Back
Top Bottom