Raila Odinga: Natarajia kukamatwa wakati wowote baada ya Kiongozi mmoja wa Upinzani kukamatwa

Raila Odinga: Natarajia kukamatwa wakati wowote baada ya Kiongozi mmoja wa Upinzani kukamatwa

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Odinga.jpg

Raila Odinga

Kiongozi Mkuu wa Upinzani Raila Odinga amesema kuwa anatarajia kukamatwa wakati wowote kuanzia sasa baada ya kuthibitisha kukamatwa kwa aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya jioni ya Alhamisi.

Aidha Raila ametangaza siku 5 za kuomboleza waandamanaji walioaga dunia Jumatano ya tarehe 12 Julai, huku akiahidi kuongoza maandamano mengine Jumatano ijayo.
 
Ila kenya uhuru umepitiliza. Ingekua Tz huyu siku nyingi sana yuko ndani.
Huku kwetu udikteta umezidi na ukondoo ukapitiliza. Nchi inauzwa mchana kweupe kwa mkataba wa wazi kabisa lakini sisi tupo kimya.

Yawezekana hata Mangungo aliiuza nchi yake na watu wake kwa mkataba wa wazi kabisa. Ni wazi kuwa hata wale waliokuwa na uelewa hawakusikilizwa.
 
Back
Top Bottom