Mambo ya wakenya hayakuhusuOdinga anakera sana....
Kakufanya nini?Odinga anakera sana....
Huku kwetu udikteta umezidi na ukondoo ukapitiliza. Nchi inauzwa mchana kweupe kwa mkataba wa wazi kabisa lakini sisi tupo kimya.Ila kenya uhuru umepitiliza. Ingekua Tz huyu siku nyingi sana yuko ndani.