Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house.
Nikaamka asubuhi na jibu from Heaven,sauti inaniambia,"It is perfectly alright to slay anger."
Right away nikaandika e mail kwa Dalai Lama,nikamuuliza,"Vipi wafuasi wako,kwa hasira nyingi,wanawashambulia Wachina? Is it not a good thing that a civilized person should slay anger?"
Dalai Lama akanijibu,(by e mail):"Just a minute, fellow,naomba unieleze hiyo teaching about "slaying anger" umeipata wapi?"
Nikajibu,"Ah, hii teaching about "slaying anger" nimeipata katika mafundisho ya Buddha."
Kwa hiyo nasema Raila ni chaguo la Mbinguni.
Kuhusu hii teaching ni mafundisho ya Buddha. Mtu mmoja alimfuata Buddha na kusema,:"We Buddha sidhani kama unaamini katika kuua kiumbe chochote. But is there one think you would recommend the slaying of?"
Buddha akajibu,"I recommend the slaying of anger."