BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kwa siasa za Kenya Raila Odinga ndio kiongozi wa Chama chake tangu nyakati za Moi, akaja Kibaki, akaja Uhuru Kenyatta na sasa William Ruto na hakuna tatizo kabisa make anasimamia idea yake.
Nani Kenya asiyejua mchango wa Raila Odinga kwenye Demokrasia ya Kenya? Mbona yeye hajawahi achia uongozi? na mbona ODM hawajawahi lalamika?
Bongo CCM wanataka Mbowe ang'oke waweke mtu wao? au wanataka nini?