Hivi ni nani wanaokereka Mbowe akiwa mwenyekiti zaidi ya hao mafisiem?Kama kuna wanachadema wanataka Mbowe akabidhi uongozi wakati si muda muafaka na kwa mtu sahihi ambaye sio pandikizi la mifisiemu kuna ubaya gani wakaamua kujiunga na vyama vingine ambavyo vinaruhusu uharamia huo ili mioyo yao itulie!