Raila Odinga ni msaliti tangu 2007?

Raila Odinga ni msaliti tangu 2007?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Katika uchaguzi Mkuu mwaka 2007 ODINGA aliongoza kura uraisi kwa asilimia 80 lakini mwisho wa siku baada ya figisu alipewa uwaziru Mkuu akatulia.

Mwaka 2017 Leo hii amejiondoa kiuraisi raisi amesahau watu waliokufa kwa ajili yake amesahau watu waliumia kwa ajiri yake , watu wameandamana kwa ajili yake.

Eti amejitoa kiurahisi rahisi hivi hivii tuuu.

Haki ya nani ODINGA zaidi ya msaliti
 
Kama hao hao waliothibitika kuharibu uchaguzi wa kwanza ndiyo hao hao wanasimamia wa pili kwa nn apoteze muda wake, kuna uhakika upi safari hii hawatauharibu?
 
Raila ni mnafiki tuu sasa miaka yote anashiriki uchaguzi Leo ndo anakuja kuropoka habari za tume
 
Wapinzani wengi Africa ni mapapeti wa kizungu wanaotumika kunyona rasilimali zetu na kumwaga damu za watu.
 
Katika uchaguzi Mkuu mwaka 2007 ODINGA aliongoza kura uraisi kwa asilimia 80 lakini mwisho wa siku baada ya figisu alipewa uwaziru Mkuu akatulia.

Mwaka 2017 Leo hii amejiondoa kiuraisi raisi amesahau watu waliokufa kwa ajili yake amesahau watu waliumia kwa ajiri yake , watu wameandamana kwa ajili yake.

Eti amejitoa kiurahisi rahisi hivi hivii tuuu.

Haki ya nani ODINGA zaidi ya msaliti
Kilicho mponza safari hii ni ushabiki wake kwa viongozi wa ccm
 
Kama hao hao waliothibitika kuharibu uchaguzi wa kwanza ndiyo hao hao wanasimamia wa pili kwa nn apoteze muda wake, kuna uhakika upi safari hii hawatauharibu?
Magu haendi kufanya kampeini?
 
Katika uchaguzi Mkuu mwaka 2007 ODINGA aliongoza kura uraisi kwa asilimia 80 lakini mwisho wa siku baada ya figisu alipewa uwaziru Mkuu akatulia.

Mwaka 2017 Leo hii amejiondoa kiuraisi raisi amesahau watu waliokufa kwa ajili yake amesahau watu waliumia kwa ajiri yake , watu wameandamana kwa ajili yake.

Eti amejitoa kiurahisi rahisi hivi hivii tuuu.

Haki ya nani ODINGA zaidi ya msaliti

Amekusali nini? Kwani wewe ni Mkenya?
 
Jitu lina akili kama sisiemu linafaa nini? Aende akapige vitendawili huko mbali na akina "akinyi"!
 
Back
Top Bottom