Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Raila ni mnafiki tuu sasa miaka yote anashiriki uchaguzi Leo ndo anakuja kuropoka habari za tumeKama hao hao waliothibitika kuharibu uchaguzi wa kwanza ndiyo hao hao wanasimamia wa pili kwa nn apoteze muda wake, kuna uhakika upi safari hii hawatauharibu?
Kwani miaka yote Mahakama ilikuwa inatengua?Raila ni mnafiki tuu sasa miaka yote anashiriki uchaguzi Leo ndo anakuja kuropoka habari za tume
We ujaelewa somo hapo acha kuropoka agwambo ana akili zaidi yakoRaila ni mnafiki tuu sasa miaka yote anashiriki uchaguzi Leo ndo anakuja kuropoka habari za tume
Kilicho mponza safari hii ni ushabiki wake kwa viongozi wa ccmKatika uchaguzi Mkuu mwaka 2007 ODINGA aliongoza kura uraisi kwa asilimia 80 lakini mwisho wa siku baada ya figisu alipewa uwaziru Mkuu akatulia.
Mwaka 2017 Leo hii amejiondoa kiuraisi raisi amesahau watu waliokufa kwa ajili yake amesahau watu waliumia kwa ajiri yake , watu wameandamana kwa ajili yake.
Eti amejitoa kiurahisi rahisi hivi hivii tuuu.
Haki ya nani ODINGA zaidi ya msaliti
Magu haendi kufanya kampeini?Kama hao hao waliothibitika kuharibu uchaguzi wa kwanza ndiyo hao hao wanasimamia wa pili kwa nn apoteze muda wake, kuna uhakika upi safari hii hawatauharibu?
Katika uchaguzi Mkuu mwaka 2007 ODINGA aliongoza kura uraisi kwa asilimia 80 lakini mwisho wa siku baada ya figisu alipewa uwaziru Mkuu akatulia.
Mwaka 2017 Leo hii amejiondoa kiuraisi raisi amesahau watu waliokufa kwa ajili yake amesahau watu waliumia kwa ajiri yake , watu wameandamana kwa ajili yake.
Eti amejitoa kiurahisi rahisi hivi hivii tuuu.
Haki ya nani ODINGA zaidi ya msaliti
Ndiyo ujue mpango wa ccm sasa umegotaRaila ni mnafiki tuu sasa miaka yote anashiriki uchaguzi Leo ndo anakuja kuropoka habari za tume