Mkuu Lonestriker,hakuna mtu anabishana na namba hapa,tunachobishia ni mchakato wa upatikanaji wa hizo namba,hizo namba zinabakibaki hivyo hivyo na ndizo zitakazohukumu ukweli wa Raila au uongo wake.Africa hatutatakiwi kufumbia macho michakato mibovu na mifumo miovu ya upatikanaji wa viongozi wetu,lazima kila uovu uwao wote kwenye chaguzi zetu uwe adressed na hatua madhubuti zichukuliwe ili kuondoa uhuni ambao unatuuza nje kwamba bado hatujastaarabika,yote hii kwa sababu tu ya watu wachache ambao wapo tayari kutia kemikali kwenye mahesabu ya kura ili washinde nafasi za uongozi katika nchi zetu.Hapana,inatosha,lazima tuamke.Hizo asilimia tukaziongelee mahakamani.
Ati rais wa Kenya,,,hiyo ni Kenya ipi??????
Yeye ni waziri mkuu anaye ondoka baada ya kuhudumu kwa
miaka 5 na hakua na chochote cha kuonesha wa Kenya vile
alivyo fanya hiyo miaka mitano.
Lakini,,,alijijengea ofisi ya shs 800,000,000(800 Million) na
kutumia wakati wake mwingi kwa kuzuru nchi za ng'ambo
na kutumia mapato ambayo yalikua yametokana na wanainchi,,
kiholela.
Alipokua akizuru kote duniani,,aliishi katika ma hoteli
ghali sana,,mfano,,wakati mmoja huko umarekani,,
alikua akilala katika hoteli ambayo ilikua ikimgharimu
mkenya Kshs 500,000 kwa siku.
Haya ndio maendeleo wakenya wangelipata kutokana
na huyu bwana.
Tena,,wengi walishindwa kujua wapi ma millioni ya
pesa kwa vijana ilipoenda.
Kashfa ya mahindi?????????
Kumalizia yote,,,,alitaka kusimamisha ndugu zake
wachaguliwe lakini watu wa Nyanza wakamkatalia.
Cord ndicho chama ambacho wengi wao waliwahi
kutaka kupitisha familia zao njia za mkato hadi
katika siasa na kuchuna mali ya umma.
Raila Odinga,,,ndugu wake wawili,,Henry Kosgey,,
mtoto wake aliye chaguliwa mbunge,,Sally Kosgey,
Kijana wake,,Rev Wanjiru,,kijana wake,,, Kajwang',,
ndugu yake Teejay aliye chaguliwa.
Iko list ndefu sana yakuonyesha,,,what kind of
reformist these guys are.
Bahati mzuri,,,,,mungu akaipenda Kenya na
angekubali hii inchi iwe mikononi mwa hawa
watu wa aina hii,,,,watu hata hawana
haibu hata ndogo.
Nikimalizia,,,,wengi hawana habari,,,kwamba,,,
pamoja na marupu rupu mengi aliyo kua nayo,,
ati ukweli ni kwamba bwana Raila Agwambo
alikua na mshahara mkubwa hata kuliko
rais Kibaki,,,amini usiamini.
Huyu ndiye ati,,,,kichekesho,,,,angewapeleka
wakenya,,ati,,,Canaan,,,,,,,,,?????????????