Raila Odinga takes CORD rallies to Ntulele, in Maasailand.

Mtu anacommand umati wote huu halafu eti uniambie ameshindwa kuwa Rais wa Kenya huo ni ulongo tu...
 
Mtu anacommand umati wote huu halafu eti uniambie ameshindwa kuwa Rais wa Kenya huo ni ulongo tu...
Jamaa walichakachua zile kura kamanda mwenangu nd'o maana wanawasiwasi na hii mikutano ya huyu bwana.
 
Mtu anacommand umati wote huu halafu eti uniambie ameshindwa kuwa Rais wa Kenya huo ni ulongo tu...

Tatizo huwa wanajitokeza kwenye mikutano hivyo lakini upigaji wa kura hawapo. Ni kama tu Tanzania, mikutano ya Chadema imejaa halaiki lakini utendaji wakati wa kura CCM wanawashinda kimya kimya. Vijana wengi mjini ni domo tu na hawana hata kadi za kura, konyagi na viroba ndio zao.
 
Jubilee wasilete ubabe hapa, wawe wapole wamsikilize odinga.

Jamaa anaweza kupindua nchi hivhiv
 
mtu anacommand umati wote huu halafu eti uniambie ameshindwa kuwa rais wa kenya huo ni ulongo tu...

uhuru akushinda uchaguzi alipata kura 5.0m na raila 6.7 m kazi ya kubadilisha ikafanyika kwa amri ya kibaki na ushirikiano wa viongozi wa mataifa matatu majirani na chuki ilikuwa ni raila kuwasaidia wapinzani katika nchi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…